Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu Marehemu Mhe. William v. Lukuvi ukitolewa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa kuelekea nyumbani kwake , leo tarehe 26 Machi 2026, Area D jijini Dodoma.
Mhe. Lukuvi amefariki dunia tarehe 25 Machi 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa Matibabu.













