Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Atembelea Kamandi Mbili za Jwtz Jijini Dar-es-salaam

GEORGE MARATO TV
0


Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt.Rhimo Nyansaho (mb), Tarehe 08 januari,2026 ameendelea na ziara yake ya kikazi kwa kutembelea kamandi mbili za vikosi chini ya makao makuu ya jeshi na kamandi ya wanamaji jijini Dar-es-salaam 


Katika ziara yake ya siku moja kutembelea kamandi hizo mbili Waziri wa ulinzi na JKT alipokelewa na mkuu wa kamandi ya vikosi chini ya makao makuu ya jeshi, Meja Jenerali Iddi Nkambi ambaye alimpa Mhe.Dkt. Rhimo Nyansaho taarifa ya utekelezaji wa majukumu wa kamandi hiyo. 


Aidha akiwa katika ziara yake ya kamandi ya wanamaji Mhe.Dkt.Rhimo Nyansaho ametembelea Meli za kivita na karakana ya Meli vita na pia kuongea na Maafisa wanadhimu wa Kamandi hizo.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top