Waziri Mkuu Aelekea Morogoro kwa Ziara ya Kikazi

GEORGE MARATO TV
0


Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 ameelekea Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ambapo atakagua maendeleo ya ujenzi wa  Bwawa la Maji la Kidunda ambalo linatarajiwa kuwa na uwezo wa kuzalisha hadi lita bilioni 20 za maji kwa siku. 


Pia Mheshimiwa Dkt. Mwigulu atakagua madhara ya mvua katika maeneo ya Kidete, Godegode pamoja na Gulwe.







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top