Anthony Mtaka ni Level Nyingine

GEORGE MARATO TV
0

 

Watanzania wenye Fikra, Strategy, na Vision ya kuivusha nchi level nyingine, wapo, ila mfumo wa nchi, Umekaa kibinafsi mno.

Anthony Mtaka ni mfano wa Kiongozi mzalendo na mwenye nia, Fikra na strategies za kuiendeleza nchi, Hili wazo la kujengea uwezo watanzania, likifanyiwa kazi, at National level lazima tutoboe, 

Kuna watu wengi wenye mawazo mazuri tu kama Jenerali Mstaafu Venance Mabeyo⁩, kwamba mito yetu imetufaidishaje kama nchi zaidi ya kuneemesha nchi za wenzetu huko sudani ? 

Trump anasema, America first" Alipokuwa anapeleka majeshi Ukrain, alisain deal na Rais wa Ukrain kuifaidisha Marekani kwenye swala la madini, mifano mingine ni Congo.

Swali la kujiuliza, wanajeshi wetu wanapokwenda kufanya peace keeping, nchi yetu inafaidikaje, Mtaka anahoji, kama nchi imekusaidia kwenye peace keeping, Unapopata miradi yako kwa nini uwape wachina? Badala ya watanzania[ Kufa kufaana]....

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top