Wananchi wa Mkoa wa Mara kwa kushirikiana na Kikundi cha Jogging Musoma leo tarehe 25 Oktoba, 2025 wameshiriki mbio za pole na kufanya mazoezi ya viungo kwa lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki mazoezi, kupima afya na kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Wananchi wa Mkoa wa Mara Washiriki Jogging ya Kuhamasisha Uchaguzi
October 25, 2025
0
Wananchi wa Mkoa wa Mara kwa kushirikiana na Kikundi cha Jogging Musoma leo tarehe 25 Oktoba, 2025 wameshiriki mbio za pole na kufanya mazoezi ya viungo kwa lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki mazoezi, kupima afya na kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Share to other apps