Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi aweka Jiwe la Msingi ujenzi wa shule ya Polish Jeshi

GEORGE MARATO TV
0

 

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda leo tarehe 12 Septemba 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Polisi katika kijiji cha Mkanzaule Wilaya ya Mafinga Mkoani Iringa.

.

Akizungumza wakati wa sherehe hizo, Jenerali Mkunda alisema kuwa kwa upande wa Jeshi ni historia na ni mara ya kwanza kwa Polisi Jeshi kuwa na shule yao ya huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunga mkono uboreshaji wa mbinu ya mafunzo jeshini.


Pia alisema kusema wa kujenga yenye hiyo ni jawabu mojawapo la kusaidia Polisi Jeshi wanapata mafunzo utaalamu wa kuwawezesha kutekeleza majukumu ya kipolisi kwa weledi mkubwa na ufanisi mkubwa. 

.

‎Aidha, mara baada ya kuwekwaji wa jiwe la msingi, Jenerali Mkunda amewaasa Maafisa na Askari kuviishi kupitiapo vyao wakati wote wanapotekeleza majukumu ya kijeshi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top