Majiko Banifu kupunguza matumizi ya mkaa na kuni Mbeya

GEORGE MARATO TV
0


📌 *Majiko banifu 9,330 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Mbeya* 


📌 *Wilaya Sita kunufaika na mradi* 


📌 *Kila Wilaya pata majiko 1,555* 


📍 *MBEYA* 


Serikali ya Mkoa wa Mbeya kupitia Katibu Tawala wa Mkoa Ndugu, Rodrick Mpogolo leo Jumanne Septemba 2, 2025 imepokea mradi wa kusimamia na matumizi ya majiko banifu 9,330 yenye ufanisi mkubwa katika utumiaji wake.

Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya mradi Mhandisi wa miradi kutoka kwa nishaji vijijini (REA), Raya Majallah amesema,


Kupitia utafiti 2016 unakadiria kuwa takribani watu 33,024 hufariki kabla ya kila mwaka huu ni sawa na asilimia 8.49 ya vifo vyote nchini Tanzania, kutokana na magonjwa ambayo yanachangiwa uchafuzi wa hewa ndani ya nyumba ya upikaji kwa kutumia matumizi yasiyo safi na salama.

Hivyo kwa kutambua hilo, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijiji imeaanda mpango wa kuamua na kuondoa majiko banifu 200,000 kwa bei ya ruzuku ili kupona athari za kiafya na mazingira zinazotokana na matumizi yasiyo salama na kufikiria lengo la serikali mpaka kufikia 2034 zaidi ya asilimia themanini 80% ya watanzania ambao wanatumia nishati safi ya matumizi.


Katika zoezi hilo, Wakala wa Nishati Vijijini unatarajia kusambaza na kuuza majiko 9,330 mkoa wa Mbeya katika wilaya sita za Busokelo, Chunya, Kyela, Mbarali, Rungwe na Mbeya Vijijini ambapo kila wilaya itapata majiko 1,555.

Mhandisi Raya ameendelea kusema, mikataba ya mradi ilisainiwa tarehe 09 Mei, 2025 kati ya REA na mtoa huduma Kampuni ya Envotec Services Limited na itatekelezwa ndani ya miezi 15.

Mradi unatarajia kugharimu zaidi ya TZS Milioni 471.9 kwa mkoa wa Mbeya pekee, ambapo serikali itatoa ruzuku ya asilimia 85 sawa na zaidi ya TZS Milioni 401.1 hivyo badala ya jiko kuuzwa kwa bei ya awali ya TZS 50,580 litachangia kwa bei ya TZS 42, 993 tu na, mwananchi88.


Kwa upande wake katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Rodrick Mpogolo amesema, atatoa huduma ya majiko banifu kwa bei ya ruzuku ni sehemu ya Jitihada za serkali katika kuhamasisha na kuwawezesha wananchi kutumia safi na salama kuboresha kuboresha afya za wananchi na utunzaji wa mazingia hususan katika kutoa elimu ya miti ovyo.

Mwisho.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top