Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na Wanachama wa CCM wa Mtwara mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.