Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM wa Urambo katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Mkoani Tabora tarehe 11 Septemba 2025
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.














