Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM wa Mlowa Mkoani Dodoma alipokuwa njiani akitokea Mkoani Iringa katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 07 Septemba 2025.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.