Rais Samia Ateta na Viongozo Baada ya Kuzindua Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu

GEORGE MARATO TV
0

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Chama na Serikali, mara baada ya kuzindua Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, mjini Bariadi, leo Jumatatu tarehe 16 Juni 2025.


 Kutoka kushoto pichani ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emanuel Nchimbi,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh Mohamed Mchengerwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Ndugu Kenai Laban Kihongosi.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top