Mwanasheria Mkuu wa Serikali Awasilisha Bungeni Muwada wa Sheria Mbalimbali

GEORGE MARATO TV
0


Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Mhe Hamza  S. Johari amewasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025). 

Mh Johari amewasilisha muswada leo June  5 - 2025 katika Mkutano wa Kumi na tisa,kikao cha Arobaini cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea jijini Dodoma.








Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top