WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Mei 29, 2025 anatarajia kukutana na Waziri Mkuu wa Japan Ishiba Shigeru, kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu iliyopo Tokyo nchini Japan.
Mazungumzo yao yatalenga kuimarisha uhusiano wa kidiomasia na uchumi kati ya nchi hizo mbili.