Chigaitan mapinduzi vijijini
Katika mapinduzi ya kimaendeleo nchini Tanzania Mh.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewapelekea benk ya ushirika watanzania vijijini.
Anasema Dkt Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa benki ya Ushirika "Benki ya ushirika ni kichocheo cha maendeleo hasa ya kilimo vijijini"
Kwa mtaji wa zaidi ya Bilion 50 benki ya Ushirika imezinduliwa haya ni mapinduzi ya kihistoria katika historia ya ushirika nchini Tanzania
Kwa mujibu wa chigaitan mapinduzi vijijini. Taifa lolote lenye ushirika na makampuni imara ndiyo nguzo kuu ya uchumi wa taifa.
Leo nchini Tanzania waziri mkuu Kasimu Majaliwa, Waziri kijana Hussein Bashe(Mb) akishirikiana na Abdulmajid Mussa Nsekela, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania wameongoza mapinduzi anayohubiri mwandishi mahiri wa mapinduzi vijijini nchini Tanzania CHIGAITAN
Uchumi wa ushirika ni njia kuu ya mafanikio ya uchumi wa hasa watu wa vijijini nchini Tanzania.