Mwenyekiti Wa UVCCM TAIFA Ndugu Mohamed Ali KAWAIDA Apokelewa Mkoani Mwanza Kuendelea Na Ziara Yake Ya Siku 10 Za Moto Mikoa Ya Kaskazini.
Katika Ziara Hiyo Ndg KAWAIDA Ameongozana Na Makamu Mwenyekiti Wa UVCCM TAIFA Ndg Rehema SOMBI Pamoja Na Wajumbe Wengine Wa Kamati Ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa.