Wasira Azungumza Na Balozi Wa Jamhuri Ya Korea Nchini

GEORGE MARATO TV
0


 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)Ndg. Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini,  Leo tarehe 18/2/2025 katika Ofisi  ndogo ya  makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. 




Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamebadilishana mawazo katika namna mbalimbali yanayohusu ushirikiano wa nchi ya Tanzania na Korea.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top