Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shule ya elimu (DUCE), Theresia Noel ambaye ni mlemavu wa viungo, akiwa kwenye maktaba ya Chuo hicho aeleza jinsi TASAF ilivyochangia kufanikisha ndoto zake pia amemshukuru Rais Samia na kumuomba kuendelea kutunisha mfuko huo.
Bibi Angelina ...mnufaika wa mfuko TASAF, akizungumza na waandishi wa habari namna alivyoanza kumlea mjukuu wake Theresia Noel ambaye ni mlemavu baada ya kutelekezwa na mama yake akiwa na miezi sita