Rais Samia aungana na Wakuu wa Nchi za Sadc Katika Mkutano wa Dharura Nchini Zimbabwe

GEORGE MARATO TV
0


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika ukumbi wa New Parliament Building, Harare nchini Zimbabwe tarehe 31 Januari, 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. 





 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na  baadhi ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC kabla ya kuanza kwa Mkutano wao wa  Dharura uliofanyika katika ukumbi wa New Parliament Building, Harare nchini Zimbabwe tarehe 31 Januari, 2025.



 Matukio mbalimbali wakati wa Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa New Parliament Building, Harare nchini Zimbabwe tarehe 31 Januari, 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine umejadili hali ya Ulinzi na Usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).


Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC tarehe 31 Januari, 2025.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top