02 JANUARY 2025.
🔰 KISIWANDUI
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) Amefungua Mafunzo ya wajumbe wa UVCCM Unguja.
#TunazimazoteTunawashakijani
#Kijananakijani
Imetolewa na Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi, Afisi kuu UVCCM Zanzibar