Uongozi wa George marato TV unakupongeza mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo unaposherekea kumbukizi yako ya kuzaliwa.
Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukupa afya njema na maisha marefu
HAPPY BIRTHDAY
RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN

