Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameongoza maelfu ya maafisa usafirishaji (bodaboda) wa jiji la Arusha kuelekea Ukumbi wa AICC kunakofanika Mkutano wa Maafisa usafirishaji Arusha.
Mwenyekiti UVCCM taifa ndio atakuwa mgeni rasmi wa Mkutano huo.