Dkt. Biteko amesema Tanzania inapiga hatua Usambazaji wa Gesi asilia

GEORGE MARATO TV
0

 

Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika huduma za Kuzalisha, Kusafirisha na Kusambaza Umeme unaotokana na Gesi asilia.

Amesema inategemewa nyumba 1000 kuunganishwa nishati hiyi ya gesi asilia katika mwaka wa fedha 2024/25 na hadi sasa nyumba nyingine 1500 tayari zimeunganishwa na mpango huo.

Mh Dkt. Biteko ameyasema hayo katika mahojiano maalum aliyoyafanya hivi karibuni na Shirika la Utangazaji la Uingereza - BBC, Jijini Dar es Salaam.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top