Ccm Kwangwa B Yawanadi Wagombea wake kwa Kishindo

GEORGE MARATO TV
0


Na Ada Shadrack,Musoma.

MGOMBEA nafasi ya mwenyekiti mtaa wa Kwangwa B' kata ya Kwangwa Manispaa ya Musoma Maxmilian Kunju kwa tiketi ya CCM amewahaidi wananchi kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo tatizo la uhaba wa maji linalowakabili wakazi wa mtaa huo.

Awali eneo hili kulikuwa na changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama lakin tulivyoingia  madarakani mwaka 2019 tuliamua kupunguza bugudha hiyo akina mama mlikuwa mkienda  kuchota maji kwenye visima "amesema Kunju.

Aidha aidha mbali na changamoto hiyo kunju alisema baadhi ya miundombinu ya barabara zilikuwa ni njia za ng'ombe, na  mashamba lakini kwa sasa uongozi wa chama hicho mkoani Mara umetengeneza barabara na kuleta maji safi na salama kupitia mabomba.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top