Watu wanne wamefariki dunia kwenye ajali mbaya iliyohusisha basi la abiria na lori la mafuta mkoan Pwani.

Kamanda wa jeshi la polisi Pwani SACP PIUS LUTUMO amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ambae pia ni mkuu wa mkoa wa Pwani Alhaj Aboubakar Kunenge akiambatana na kamati ya ulinzi na usalama amefika katika eneo la illipotokea ajali hiyo.