Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi na Wanachama wa CCM wa Karatu katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho Mkoani Arusha tarehe 03 Octoba, 2025.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.





























