RAIS wa Kenya William Ruto amempendeza Erastus Edung Ethekon kutoka kaunti ya Turkana kuwa mwenyekiti mpya wa IEBC, katika tangazo la hivi punde zaidi.
Rais pia ameamua kwamba Msajili wa Vyama vya Kisiasa Ann Nderitu kutoka kaunti ya Nyandarua, Moses Mukhwana Kaunti ya Kakamega, Mary Sorobit kutoka kaunti ya Uasin Ngishu, Hassan Noor Hassan kaunti ya Mandera , Francis Odhiambo Aduol Kaunti ya Kisumu pamoja na Fahima Abdallah kutoka kaunti ya Lamu wawe makamishna wa Tume ya IEBC, hatua ambayo itakamilisha kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka kwa ajili ya uchaguzi wa 2027.
Hatua inayofuata ni majina hayo kupelekwa Kwenye Bunge la Kitaifa kwa msasa wa mwisho kabla ya kuteuliwa na kuapishwa.


