Rais Samia Atembelea Makumbusho ya Muasisi wa Taifa la Angola,Apolelewa Kijeshi

GEORGE MARATO TV
0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola, Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda, tarehe 08 Aprili, 2025.

Rais Dkt. Samia  amepokelewa kwa heshima ya kijeshi katika eneo hilo la Makumbusho  na kisha kuweka  shada la maua katika Mnara wa Kumbukumbu wa Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa hilo Hayati António Agostinho Neto.










Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top