Mhe.Ghati Chomete (Mb) na Dkt.Rhimo Nyansaho - Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) walipokutana katika Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Taifa Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convectional Center ili Kumpitisha kwa kura za kishindo Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Kiti cha Urais 2025
Na Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar