Steven Wasira amrithi Abdulrahman Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

GEORGE MARATO TV
0


 Mwenyekiti wa Chama Chamapinduzi(CCM)Rais Samia Suluhu Hassan amewasilisha katika Mkutano Mkuu wa CCM Jina la Mwanasiasa Mkongwe nchini Steven Wasira kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara.

Wasira anatarajia kumrithi Abdulrahman Kinana aliyeomba kupumzika nafasi hiyo mwezi Julai Mwaka Jana.

Kupitia mkutano huo mkuu maalum wa CCM,Wajumbe 1924 wa mkutano huo wanatarajia kupiga kura za ndio au Hapana ili kupitisha Jina hilo la Wasira.

 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top