MISA TAN yatoa salama za pole Kwa UTPC

GEORGE MARATO TV
0

 


Taasisi ya Vyombo vya habari Kusini Mwa Afrika (Tawi la Tanzania imetoa salama za pole Kwa umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Kwa kufiwa na mfanyakazi wake Dina Rubanguka.

Mwenyekiti wa Bodi ya MISA Tan Edwin Soko ameipa pole UTPC kwa msiba huo na kusema kifo Cha Diana ni pigo Kwa tasnia ya habari Nchini.

"MISA Tan ni marafiki wa karibu wa UTPC, Kigoma Press Club na tasnia yote ya habari hivyo msiba huu ni wetu na tumepata pengo kwenye Tasnia" Alisema Soko.






Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top