Hotel ya Kitalii yazinduliwa Katika Kisiwa cha Bawe Zanzibar

GEORGE MARATO TV
0


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, *Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassani* akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt Hussein Ali Mwinyi,mwekezaji wa hotel ya kitalii ya Bawe Island the cocoon Collection Bw. Andrea azzola wakati wa ufunguzi wa hotel Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika kisiwa Cha Bawe, Zanzibar tarehe 07 Januari 2025.


Uwekezaji Huu Ambao umwezesha Vijana wazawa zaidi ya 400 Kupata Ajira Katika Hoteli Hiyo. Hii ni Moja ya Malengo ya Serikali Katika uwekezaji Kuhusu Manufaa Kwa Wananchi wanaozunguka Mazingra Hayo.











Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top