Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba, Profesa Mohamed Yakub Janabi mara baada ya hafla ya Uapisho wa Mawaziri na Viongozi mbalimbali uliofanyika Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar, Disemba 10, 2024.
Dokta Ashatu Kijaji Waziri wa Mifugo na Uvuvi akila Kiapo
Hamisi Mwinjuma Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
Abdalah Ulega Waziri wa Ujenzi
Hamad Masauni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Innocent Bashungwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Dkt.Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria
MaryPrisca Mahundi Naibu waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Profess Palamagamba Kabudi Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
Jerry Slaa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari










