Katika ziara hiyo inayoanza asubuhi hii October 05 katika halmashauri ya wilaya ya Temeke,mh Waziri mkuu Kassim Majaliwa,atakutana na watumishi,kisha kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo kabla kufanya mkutano wa hadhara eneo la Mbagala rangi Tatu.
Kesho ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake,mh Waziri mkuu atafanya ziara kama hiyo wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam.