Mwili wa Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge umezikwa katika kijiji cha kiabakari kitongoji cha Nyamongo wilayani Butiama Mkoani Mara.
Maafisa wa ngazi ya Juu wa JWTZ,Viongozi wa serikali na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo WAKISHUHUDIA MWILI wa Jenerali Mstaafu Mbuge ukishushwa kaburini Oktoba 17 kijijini kwake Kiabakari.